Ni App nzuri kwaajili ya kukuza Imani Yetu ya Kikristo。這是給所有基督徒的!
Tumsifu Yesu Kristo! Application hii imetengenezwa kwa lengo mahususi la kuwawezesha WaKristo wote wapate kupata mafunzo yahusuyo Imani Yetu ili tuweze kukua kiroho zaidi. Karibuni Nyote! This App is for all Christians!