タンザニアの憲法(憲法草案)の最初のドラフト。
Rasimu ya kwanza ya katiba ya Tanzania ya 2013. Hii inakuwezesha kusoma na kushare ibara za rasimu ya katiba ya Tanzania ambayo nii mfano wa katiba mpya ambayo inataraji kutengenezwa. Pia kuna katiba ya tanzania application hapa google play unaweza kutumia application hizi mbili kufanya upembuzi yakinifu!