Tamu Tamu
24.5 MB
Ukuran file
- Keamanan
Everyone
Android 5.0+
Android OS
Tentang Tamu Tamu
Tamu Tamu – Maudhui bora ya simulizi na hadithi za Kiswahili.
Tamu Tamu ni app ya burudani yenye mkusanyiko wa maudhui ya Kiswahili kama simulizi, visa, hadithi fupi, mashairi, mafundisho na makala mbalimbali. Lengo kuu ni kutoa usomaji wa kuvutia, rahisi na wa haraka kwa watumiaji wote wanaopenda maudhui ya lugha ya Kiswahili.
Aplikasi hii haitumii mfumo wa akaunti, hivyo hutakiwi kujisajili wala kutoa taarifa zako binafsi ili kufurahia yaliyomo. Unafungua tu na kuanza kusoma papo hapo.
Vipengele Muhimu:
📚 Simulizi balimbali za kuvutia
✍️ Hadits fupi na visa
📝 Makala na masimulizi ya kila siku
🌙 Mode ya usomaji rahisi & Mode Gelap
🔎 Utafutaji wa chapisho kwa urahisi
💾 Hakuna kujiandikisha – tumia mara moja bila akaunti.
Tamu Tamu imeundwa kwa ajili ya msomaji wa Kiswahili anayetaka burudani, elimu na usimulizi murua katika sehemu moja.
Pakua sasa na uanze safari ya kusoma maudhui matamu kila siku!
What's new in the latest 1.0.1
Informasi APK Tamu Tamu
Versi lama Tamu Tamu
Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure
Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!



