Chama Cha Mapinduzi

Chama Cha Mapinduzi

  • 604.6 KB

    Ukuran file

  • Everyone

  • Android 4.0.3+

    Android OS

Tentang Chama Cha Mapinduzi

Aplikasi Beta Rasmi ya CCM kwa Ajili ya wanachama Wote wa CCM Duniani kote.

Mwanachama wa Chama cha mapinduzi jisajili hapa kwa kujaza taarifa zako sahihi na pale zitakapothibitishwa utaweza kutumia mambo yote yaliomo ndani, Watumiaji wa application hii ni wanachama wa CCM pekee, Hii inawahusu wanachama walisajiliwa mpaka kufikia sasa au watakaosajiliwa baadae katika matawi mbalimbali ya CCM Tanzania au nje ya nchi. Tafadhali kama wewe ni kiongozi wa tawi(mwenyekiti na katibu),kata(mwenyekiti na katibu),wilaya(mwenyekiti,katibu na vingine vyote),mkoa(mwenyekiti na katibu na vingine vyote),taifa,vijana(taifa) unaruhusiwa kuchagua kama kiongozi wa chama, viongozi wengine wote ambao hampo katika nyadhifa hizo kwa sasa msijaze kuwa ni viongozi.
Tampilkan Selengkapnya

What's new in the latest 0.071

Last updated on 2015-12-26
Beta Application ya CCM Tanzania Bado ipo katika hatua za awali kwa sasa unajisajili na kupata taarifa mbalimbali rasmi kutoka CCM kupitia tovuti ya chama www.ccm.or.tz
Tampilkan Selengkapnya

Video dan tangkapan layar

  • Chama Cha Mapinduzi poster
  • Chama Cha Mapinduzi screenshot 1
  • Chama Cha Mapinduzi screenshot 2
  • Chama Cha Mapinduzi screenshot 3
  • Chama Cha Mapinduzi screenshot 4
  • Chama Cha Mapinduzi screenshot 5

Versi lama Chama Cha Mapinduzi

ikon APKPure

Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure

Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!

Unduh APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies