Moless Cargo

Moless Cargo

Quantum_Labs
2026年02月27日
  • 24.5 MB

    文件大小

  • 安全
  • Everyone

  • Android 6.0+

    Android OS

关于Moless Cargo

Tuma mizigo popote 坦桑尼亚

Ilianzishwa katika mitaa Yanye pilikapilika ya Dar es Salaam mwaka 2024,Moless Cargo inabadilisha jinsi vifurushi vinavyosafirishwa kote 坦桑尼亚。 Kutoka kwa nyaraka muhimu hadi zawadi za upendo、bidhaa zabiashara ndogo hadi mizigo ya makampuni、tuko hapa kuhakikisha kwamba kila kifurushi kinafika kwa wakati、kwa usalama、na kwa gharama nafuu。

夸米博菲奥·米哈切·图 (unaweza kupanga usafirishaji wa vifurushi mahali popote ndani ya Dar es Salaam au kutuma hadi mikoa ya mbali, ukileta watu karibu zaidi, Bishara kukua, na Fursa kuunganishwa. Iwe ni uwasilishaji wa haraka au uliopangwa, jukwaa letu linakupa urahisi unaohitaji。

Teknolojia ya kisasa ndiyo msingi wa huduma zetu。 Kufuatilia moja kwa moja、arifa za papo hapo、na mawasiliano rahisi vinahakikishaunajua kila hatua ya safari ya kifurushi chako。 Vifurushi vyako vinashughulikiwa kwa uangalifu mkubwa kwa sababu tunafahamu kuwa si mizigo tu—ni ahadi、uhusiano、na nyakati muhimu。

Tunaamini usafirishaji si suala la vifaa pekee—ni kuhusu kuwawezesha watu、kusaidiabiashara、na kujenga jamii imara。 Kwa Moless Cargo、kila kifurushi tunachosafirisha ni hatua ya kuunganisha ndoto、kuleta tabasamu、na kurahisisha maisha kote 坦桑尼亚。

Hivyo basi, iwe wewe ni mjasiriamali unayepanua wigo wa Bishara yako, rafiki unayetuma zawadi ya upendo, au mtu anayehakikisha kifurushi muhimu kinawasilishwa kwa wakati, Moless Cargo iko hapa kufanya hivyo liwezekane—kwa ufanisi, 乌萨拉马, na gharama纳福。

Karibu Moless Cargo——ambapo kila kifurushi kinaelezea hadithi, na kila usafirishaji unaacha alama。

——蒂姆·亚·莫莱斯

更多

最新版本1.0.5的更新日志

Last updated on 2026年02月27日
Moless Cargo ilianzishwa Dar es Salaam mwaka 2024 kwa dhamira ya kubadilisha usafirishaji wa vifurushi Tanzania. Kwa mibofyo michache, tumia jukwaa letu kupeleka vifurushi ndani ya Dar es Salaam au mikoa ya mbali kwa haraka, usalama, na gharama nafuu.

Kwa Moless Cargo, usafirishaji ni zaidi ya mizigo—it’s about kuunganisha watu, kusaidia biashara, na kuleta tabasamu.

Karibu Moless Cargo—tunakuletea huduma rahisi na bora za usafirishaji.

—Timu ya Moless
更多

视频和屏幕截图

  • Moless Cargo 海报
  • Moless Cargo 截图 1
  • Moless Cargo 截图 2
  • Moless Cargo 截图 3
  • Moless Cargo 截图 4
  • Moless Cargo 截图 5
  • Moless Cargo 截图 6
  • Moless Cargo 截图 7

Moless Cargo APK信息

最新版本
1.0.5
类别
公司
Android OS
Android 6.0+
文件大小
24.5 MB
开发者
Quantum_Labs
Available on
内容分级
Everyone
安全报告
立即检查
安全检查已完成
无病毒
无间谍软件
无恶意软件
无病毒
无间谍软件
无恶意软件
包名:com.moless.cargo
SHA-256:e2e6d08a8842c78c87b47a125f86f50eb20056e35ccac01f50d518e32dcc3e72
SHA-1:f878b7f04854fe70734d9fdd914c7d519e6994bf
显示更多
验证者: APKPURE

Moless Cargo历史版本

24.5 MB2026年02月27日
下载
27.4 MB2025年05月20日
下载
APKPure 图标

在APKPure上极速安全下载应用

一键安装安卓XAPK/APK文件!

下载 APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies